كُلُوا۟ وَٱشْرَبُوا۟ هَنِيٓـًٔۢا بِمَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKuleni na kunyweni kwa raha kabisa kwa sababu ya mliyokuwa mkiyatenda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKuleni na kunyweni kwa raha kabisa kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyatenda.