إِنَّكُمْ لَفِى قَوْلٍ مُّخْتَلِفٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayohitalifiana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana.