تَبْصِرَةً وَذِكْرَىٰ لِكُلِّ عَبْدٍ مُّنِيبٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterYawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja mwenye kurejea (kwa Mwenyezi Mungu).
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja mwenye kuelekea.