caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:5

بَلْ كَذَّبُوا۟ بِٱلْحَقِّ لَمَّا جَآءَهُمْ فَهُمْ فِىٓ أَمْرٍ مَّرِيجٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLakini waliikanusha Haki ilipowajia; kwa hivyo wamo katika mambo ya mchanganyiko.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini waliikanusha Haki ilipo wajia; kwa hivyo wamo katika mambo ya mkorogo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70