caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Maaida, Aya 79

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 112 · 5:79

كَانُوا۟ لَا يَتَنَاهَوْنَ عَن مُّنكَرٍ فَعَلُوهُ لَبِئْسَ مَا كَانُوا۟ يَفْعَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWalikuwa hawakatazani maovu waliyokuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu mno waliyokuwa wakiyafanya!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu yalioje mambo waliyo kuwa wakiyafanya!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70