caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Maaida, Aya 65

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 112 · 5:65

وَلَوْ أَنَّ أَهْلَ ٱلْكِتَٰبِ ءَامَنُوا۟ وَٱتَّقَوْا۟ لَكَفَّرْنَا عَنْهُمْ سَيِّـَٔاتِهِمْ وَلَأَدْخَلْنَٰهُمْ جَنَّٰتِ ٱلنَّعِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa lau kuwa Watu wa Kitabu wangeliamini na wakamcha Mungu, hapana shaka tungeliwafutia mabaya yao, na tungeliwaingiza katika Mabustani yenye neema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa lau kuwa Watu wa Kitabu wangeli amini na wakachamungu hapana shaka tungeli wafutia makosa yao, na tungeli waingiza katika Bustani zenye neema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70