caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Maaida, Aya 37

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 112 · 5:37

يُرِيدُونَ أَن يَخْرُجُوا۟ مِنَ ٱلنَّارِ وَمَا هُم بِخَٰرِجِينَ مِنْهَا وَلَهُمْ عَذَابٌ مُّقِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWanataka kwamba watoke Motoni, lakini hawawezi kutoka humo, na wana adhabu inayodumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatataka watoke Motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70