caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Maaida, Aya 29

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 112 · 5:29

إِنِّىٓ أُرِيدُ أَن تَبُوٓأَ بِإِثْمِى وَإِثْمِكَ فَتَكُونَ مِنْ أَصْحَٰبِ ٱلنَّارِ وَذَٰلِكَ جَزَٰٓؤُا۟ ٱلظَّٰلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika mimi ninataka ubebe dhambi zangu na dhambi zako, ili wewe uwe miongoni mwa watu wa Motoni. Na hayo ndiyo malipo ya madhalimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMimi nataka ubebe dhambi zangu na dhambi zako, kwani wewe utakuwa miongoni mwa watu wa Motoni. Na hayo ndiyo malipo ya wenye kudhulumu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70