caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Maaida, Aya 111

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 112 · 5:111

وَإِذْ أَوْحَيْتُ إِلَى ٱلْحَوَارِيِّـۧنَ أَنْ ءَامِنُوا۟ بِى وَبِرَسُولِى قَالُوٓا۟ ءَامَنَّا وَٱشْهَدْ بِأَنَّنَا مُسْلِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa nilipowafunulia ufunuo (wahyi) Wanafunzi (wako) kwamba: "Niaminini Mimi na Mtume wangu." Wakasema: "Tumeamini, na shuhudia kuwa sisi hakika ni Waislamu."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa nilipo wafunulia Wanafunzi kwamba waniamini Mimi na Mtume wangu, wakasema: Tumeamini na shuhudia kuwa sisi ni Waislamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70