caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Muhammad, Aya 8

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 95 · 47:8

وَٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ فَتَعْسًا لَّهُمْ وَأَضَلَّ أَعْمَٰلَهُمْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale waliokufuru, basi kwao ni maangamizo, na atavipoteza vitendo vyao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walio kufuru, basi kwao ni maangamizo, na atavipoteza vitendo vyao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70