caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Muhammad, Aya 27

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 95 · 47:27

فَكَيْفَ إِذَا تَوَفَّتْهُمُ ٱلْمَلَٰٓئِكَةُ يَضْرِبُونَ وُجُوهَهُمْ وَأَدْبَٰرَهُمْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi itakuwaje Malaika watakapowafisha wakawa wanawapiga nyuso zao na migongo yao!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi itakuwaje Malaika watakapo wafisha wakawa wanawapiga nyuso zao na migongo yao!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70