وَإِذَا حُشِرَ ٱلنَّاسُ كَانُوا۟ لَهُمْ أَعْدَآءً وَكَانُوا۟ بِعِبَادَتِهِمْ كَٰفِرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ambao watu watakapokusanywa watakuwa maadui zao, na wataikataa ibada yao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ambao watu watakapo kusanywa watakuwa maadui zao, na wataikataa ibada yao.