caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ahqaf, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 66 · 46:14

أُو۟لَٰٓئِكَ أَصْحَٰبُ ٱلْجَنَّةِ خَٰلِدِينَ فِيهَا جَزَآءًۢ بِمَا كَانُوا۟ يَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao ndio watu wa Bustani za mbinguni, watadumu humo, kuwa ni malipo kwa yale waliyokuwa wakiyatenda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ndio watu wa Peponi, watadumu humo, kuwa ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70