مِن فِرْعَوْنَ إِنَّهُۥ كَانَ عَالِيًا مِّنَ ٱلْمُسْرِفِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterYa Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenye kupindukia mipaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYa Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenye kupindukia mipaka.