caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 17

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:17

وَلَقَدْ فَتَنَّا قَبْلَهُمْ قَوْمَ فِرْعَوْنَ وَجَآءَهُمْ رَسُولٌ كَرِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika kabla ya hawa tuliwafanyia mtihani watu wa Firauni, na aliwafikia Mtume Mtukufu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika kabla ya hawa tuliwafanyia mtihani watu wa Firauni, na aliwafikia Mtume Mtukufu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70