caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 72

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:72

وَتِلْكَ ٱلْجَنَّةُ ٱلَّتِىٓ أُورِثْتُمُوهَا بِمَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hiyo ni Bustani ya mbinguni mliyorithishwa kwa mliyokuwa mkiyafanya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hiyo ni Pepo mliyo rithishwa kwa hayo mliyo kuwa mkiyafanya.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70