caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:10

ٱلَّذِى جَعَلَ لَكُمُ ٱلْأَرْضَ مَهْدًا وَجَعَلَ لَكُمْ فِيهَا سُبُلًا لَّعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbaye amewafanyieni ardhi kama tandiko, na akawafanyieni ndani yake njia mpate kuongoka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbaye amekufanyieni ardhi kama tandiko, na akakufanyieni ndani yake njia mpate kuongoka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70