إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wale walioamini na wakatenda mema, watakuwa na ujira usio na ukomo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wanao amini na wakatenda mema watakuwa na ujira usio na ukomo.