caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Fussilat, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 61 · 41:35

وَمَا يُلَقَّىٰهَآ إِلَّا ٱلَّذِينَ صَبَرُوا۟ وَمَا يُلَقَّىٰهَآ إِلَّا ذُو حَظٍّ عَظِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLakini hawapewi wema huu ila wanaosubiri, wala hawapewi ila wenye bahati kubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini hawapewi wema huu ila wanao subiri, wala hawapewi ila wenye bahati kubwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70