caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 38

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:38

وَقَالَ ٱلَّذِىٓ ءَامَنَ يَٰقَوْمِ ٱتَّبِعُونِ أَهْدِكُمْ سَبِيلَ ٱلرَّشَادِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa yule aliyeamini alisema: Enyi watu wangu! Nifuateni mimi, nitakuongozeni njia ya uongozi mwema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa yule aliye amini alisema: Enyi watu wangu! Nifuateni mimi, nitakuongozeni njia ya uwongozi mwema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70