وَقَالَ فِرْعَوْنُ يَٰهَٰمَٰنُ ٱبْنِ لِى صَرْحًا لَّعَلِّىٓ أَبْلُغُ ٱلْأَسْبَٰبَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Firauni akasema: Ewe Hamana! Nijengee mnara ili nipate kuzifikia njia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Firauni akasema: Ewe Hamana! Nijengee mnara ili nipate kuzifikia njia,