caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 8

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:8

وَإِذَا حَضَرَ ٱلْقِسْمَةَ أُو۟لُوا۟ ٱلْقُرْبَىٰ وَٱلْيَتَٰمَىٰ وَٱلْمَسَٰكِينُ فَٱرْزُقُوهُم مِّنْهُ وَقُولُوا۟ لَهُمْ قَوْلًا مَّعْرُوفًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakihudhuria ugawi (wa mali ya urithi) jamaa wa karibu, na mayatima, na masikini, basi wapeni kwayo, na waambieni kauli njema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wakati wa kugawanya wakihudhuria jamaa na mayatima na masikini, wapeni katika hayo mali ya urithi, na semeni nao maneno mema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70