caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 50

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:50

ٱنظُرْ كَيْفَ يَفْتَرُونَ عَلَى ٱللَّهِ ٱلْكَذِبَ وَكَفَىٰ بِهِۦٓ إِثْمًا مُّبِينًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterTazama namna wanavyomzulia uongo Mwenyezi Mungu, na haya yanatosha kuwa dhambi iliyo wazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTazama vipi wanavyo mzulia uwongo Mwenyezi Mungu, na haya yatosha kuwa dhambi iliyo dhaahiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70