caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 38

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:38

وَٱلَّذِينَ يُنفِقُونَ أَمْوَٰلَهُمْ رِئَآءَ ٱلنَّاسِ وَلَا يُؤْمِنُونَ بِٱللَّهِ وَلَا بِٱلْيَوْمِ ٱلْـَٔاخِرِ وَمَن يَكُنِ ٱلشَّيْطَٰنُ لَهُۥ قَرِينًا فَسَآءَ قَرِينًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ambao hutoa mali zao ili kujionyesha kwa watu, wala hawamwamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho. Na yule ambaye Shetani amekuwa ndiye mwenza wake, basi ana mwenza mbaya mno.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ambao hutoa mali yao kwa kuonyesha watu, wala hawamuamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho; na yule ambaye Shet'ani amekuwa ndiye rafiki yake, basi ana rafiki mbaya mno.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70