وَرُسُلًا قَدْ قَصَصْنَٰهُمْ عَلَيْكَ مِن قَبْلُ وَرُسُلًا لَّمْ نَقْصُصْهُمْ عَلَيْكَ وَكَلَّمَ ٱللَّهُ مُوسَىٰ تَكْلِيمًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mitume tuliokwishakukuhadithia kabla yake, na Mitume wengine ambao hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu alizungumza na Musa kwa maneno.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Mitume tulio kwisha kukuhadithia kabla yake, na Mitume wengine hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu alinena na Musa kwa maneno.