إِنَّ ٱلْمُنَٰفِقِينَ فِى ٱلدَّرْكِ ٱلْأَسْفَلِ مِنَ ٱلنَّارِ وَلَن تَجِدَ لَهُمْ نَصِيرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, wanafiki watakuwa katika tabaka la chini kabisa katika Moto, wala hutampata yeyote wa kuwanusuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wanaafiki watakuwa katika t'abaka ya chini kabisa Motoni, wala hutompata yeyote wa kuwanusuru.