caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 70

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:70

وَوُفِّيَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَّا عَمِلَتْ وَهُوَ أَعْلَمُ بِمَا يَفْعَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kila nafsi italipwa kwa yale iliyoyafanya, na Yeye anayajua sana wanayoyatenda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kila nafsi italipwa kwa yale iliyo yafanya, na Yeye anayajua sana wanayo yatenda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70