caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:25

كَذَّبَ ٱلَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَأَتَىٰهُمُ ٱلْعَذَابُ مِنْ حَيْثُ لَا يَشْعُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWaliokuwa kabla yao walikadhibisha, na ikawajia adhabu kutoka pahala wasipopatambua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalio kuwa kabla yao walikadhibisha , na ikawajia adhabu kutoka pahala wasipo patambua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70