caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:19

أَفَمَنْ حَقَّ عَلَيْهِ كَلِمَةُ ٱلْعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِى ٱلنَّارِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, yule mwenye kustahiki hukumu ya adhabu, je, wewe unaweza kumwokoa aliye katika Moto?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Yule mwenye kustahiki hukumu ya adhabu, je, wewe unaweza kumwokoa aliyomo katika Moto?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70