caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 9

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:9

أَمْ عِندَهُمْ خَزَآئِنُ رَحْمَةِ رَبِّكَ ٱلْعَزِيزِ ٱلْوَهَّابِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wanazo wao hazina za rehema za Mola wako Mlezi, Mwenye nguvu, Mpaji?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu wanazo wao khazina za rehema za Mola wako Mlezi, Mwenye nguvu, Mpaji?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70