إِلَّآ إِبْلِيسَ ٱسْتَكْبَرَ وَكَانَ مِنَ ٱلْكَٰفِرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa Iblisi; alijivuna na akawa katika makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa Iblisi; alijivuna na akawa katika makafiri.