caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:7

مَا سَمِعْنَا بِهَٰذَا فِى ٱلْمِلَّةِ ٱلْـَٔاخِرَةِ إِنْ هَٰذَآ إِلَّا ٱخْتِلَٰقٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSisi hatukusikia haya katika mila hii ya mwisho. Haya si chochote ila ni uzushi tu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSisi hatukusikia haya katika mila hii ya mwisho. Haya si chochote ila ni uzushi tu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70