أَجَعَلَ ٱلْـَٔالِهَةَ إِلَٰهًا وَٰحِدًا إِنَّ هَٰذَا لَشَىْءٌ عُجَابٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmewafanya miungu wote kuwa ni mungu mmoja tu? Hakika hili ni jambo la ajabu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmewafanya miungu wote kuwa ni Mungu Mmoja tu? Hakika hili ni jambo la ajabu.