caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:48

وَٱذْكُرْ إِسْمَٰعِيلَ وَٱلْيَسَعَ وَذَا ٱلْكِفْلِ وَكُلٌّ مِّنَ ٱلْأَخْيَارِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mtaje Ismail na Alyasaa na Dhulkifli, na wote hao ni katika walio bora.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mkumbuke Ismail na Alyasaa na Dhulkifli, na wote hao ni katika walio bora.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70