caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:33

رُدُّوهَا عَلَىَّ فَطَفِقَ مَسْحًۢا بِٱلسُّوقِ وَٱلْأَعْنَاقِ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Akasema:) Nirudishieni hao! Basi akaanza kuwapapasa miguu na shingo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNirudishieni! Akaanza kuwapapasa miguu na shingo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70