caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 98

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:98

فَأَرَادُوا۟ بِهِۦ كَيْدًا فَجَعَلْنَٰهُمُ ٱلْأَسْفَلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini zaidi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70