caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 80

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:80

إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجْزِى ٱلْمُحْسِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hakika hivi ndivyo tunavyowalipa wanaofanya mema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wanao fanya mema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70