لَكُنَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلْمُخْلَصِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBila ya shaka tungelikuwa ni waja wa Mwenyezi Mungu wenye kumkusudia Yeye tu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBila ya shaka tungeli kuwa ni waja wa Mwenyezi Mungu wenye ikhlasi.