caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 159

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:159

سُبْحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يَصِفُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmetakasika Mwenyezi Mungu mbali na hayo wanayomsingizia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSubhana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo msingizia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70