caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 157

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:157

فَأْتُوا۟ بِكِتَٰبِكُمْ إِن كُنتُمْ صَٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi leteni Kitabu chenu kama nyinyi ni wakweli.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70