caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 149

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:149

فَٱسْتَفْتِهِمْ أَلِرَبِّكَ ٱلْبَنَاتُ وَلَهُمُ ٱلْبَنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi waulize: Ati Mola wako Mlezi ndiye mwenye watoto wa kike, na wao wanao watoto wa kiume?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi waulize: Ati Mola wako Mlezi ndiye mwenye watoto wa kike, na wao wanao watoto wa kiume?.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70