caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 100

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:100

رَبِّ هَبْ لِى مِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe Mola wangu Mlezi! Nitunukie aliye miongoni mwa watenda mema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe Mola wangu Mlezi! Nitunukie aliye miongoni mwa watenda mema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70