إِلَّا مَنْ خَطِفَ ٱلْخَطْفَةَ فَأَتْبَعَهُۥ شِهَابٌ ثَاقِبٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa anayenyakua kitu kidogo, na mara humfwatia kimondo kinachong'ara.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa anaye nyakua kitu kidogo, na mara humfwatia kimondo kinacho ng'ara.