لَقَدْ حَقَّ ٱلْقَوْلُ عَلَىٰٓ أَكْثَرِهِمْ فَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini.