caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 61

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:61

وَأَنِ ٱعْبُدُونِى هَٰذَا صِرَٰطٌ مُّسْتَقِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia iliyonyooka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70