caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 51

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:51

وَنُفِخَ فِى ٱلصُّورِ فَإِذَا هُم مِّنَ ٱلْأَجْدَاثِ إِلَىٰ رَبِّهِمْ يَنسِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa litapulizwa baragumu, mara watatoka makaburini wakikimbilia kwa Mola wao Mlezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa litapulizwa barugumu, mara watatoka makaburini wakikimbilia kwa Mola wao Mlezi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70