caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 37

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:37

وَءَايَةٌ لَّهُمُ ٱلَّيْلُ نَسْلَخُ مِنْهُ ٱلنَّهَارَ فَإِذَا هُم مُّظْلِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70