caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 24

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:24

إِنِّىٓ إِذًا لَّفِى ضَلَٰلٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70