caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:16

قَالُوا۟ رَبُّنَا يَعْلَمُ إِنَّآ إِلَيْكُمْ لَمُرْسَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: "Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70