caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 13

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:13

وَٱضْرِبْ لَهُم مَّثَلًا أَصْحَٰبَ ٱلْقَرْيَةِ إِذْ جَآءَهَا ٱلْمُرْسَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wapigie mfano wa wakazi wa mji walipojiwa na Mitume.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70